Jinsi Ya Kupata Mme

Jinsi Ya Kupata Mme
Автор книги: id книги: 1991629     Оценка: 0.0     Голосов: 0     Отзывы, комментарии: 0 328,53 руб.     (3,34$) Читать книгу Купить и скачать книгу Купить бумажную книгу Электронная книга Жанр: Секс и семейная психология Правообладатель и/или издательство: Tektime S.r.l.s. Дата добавления в каталог КнигаЛит: ISBN: 9788835419549 Скачать фрагмент в формате   fb2   fb2.zip Возрастное ограничение: 0+ Оглавление Отрывок из книги

Реклама. ООО «ЛитРес», ИНН: 7719571260.

Описание книги

Baadhi ya wanawake, uhitaji wa mme inaweza kukamilisha mtindo wao wa maisha, wengine inaweza kuwa ni mkono wa msaada ndani na nje ya nyumba, na baadhi yao inaweza kuwa uhitaji wa kuanzisha familia, nakadhalika.Hiki kitabu sio kwaajili ya kuchambua sababu,kinatoa ushauri mfupi wa namna ya kuifanya ndoto ya kila mwanamke ya kuwa na ndoa inakamilika…kwa chini ya dakika 60

Оглавление

Emmanuel Smith. Jinsi Ya Kupata Mme

Safi, hilo umemaliza.Sasa, nina uhakika una mawazo mazuri kuhusu sifa za Mtu sahihi aonekanaje.Katika hatua hii, kila kitu ni kumhusu yeye. Hutaki kuokota mtu yoyote barabarani sababu umejikatia tamaa, sivyo? Vinginevyo, unapata mwanaume mzigo ambae utamchukia katika Maisha yako yote

Ongea kidogo, sikiliza sana. Maongezi yanayohamasishwa ni yale ambayo pande zote mbili zinasikiliza stori mnazopiga. Usiongelee kuhusu maisha yako.Unavojimwaga kuongea kuhusu maisha yako, ndivo unavompa nafasi ya kupata vidhibiti anavoweza kuvitumia wakati atakapoamua kufanya maamuzi ya kuendeleza mahusiano yenu zaidi.Wakati fulani usichokisema ndicho kinakuongelea wewe. Tengeneza urafiki na marafiki zake

Mtulize

Onyesha kujali fedha zako binafsi. Kati ya vitu vichache vinavomvutia mwanaume kwenye ndoa ni pamoja na mwanamke anaheshimu masuala yake binafsi ya kifedha.Unavyoonyesha kujali uhai wako kifedha, ndivo ambavo mpenzi wakoatapunguza wasiwasi wa kuwaza jinsi mtakavoweza kulipa bili za familia hata kama anaweza kuzilipa

Отрывок из книги

Jinsi Ya Kupata Mume

EMMANUEL SMITH

.....

Ni mwanaume wako, au mama ushauri wake?

Usijihujumu mwenyewe.

.....

Добавление нового отзыва

Комментарий Поле, отмеченное звёздочкой  — обязательно к заполнению

Отзывы и комментарии читателей

Нет рецензий. Будьте первым, кто напишет рецензию на книгу Jinsi Ya Kupata Mme
Подняться наверх