Читать книгу Nukuu Sabini Zenye Msukumo Ma Motisha - Wael El-Manzalawy - Страница 3

Оглавление

Kuhusu Mwandishi


Wael El-Manzalawy ni mwandishi Mmistri. Alizaliwa mwaka wa 1973. Alihitimu shahada kutoka Idara ya Kingereza katika Kitivo cha Sanaa. Ako na Diploma kutoka Kitivo cha Elimu. Alihitimu kutoka taasisi ambayo hutayarisha wasomi wa Ki-Islamu. Yeye huandika nakala na hadithi fupi kwa Kiarabu na Kingereza. Nakala zake na hadithi fupi zimechapishwa kwenye gazette nyingi, jarida na kwenye mtandao. Amezichapisha jumla ya vitabu 22 vya mtandaoni. Vitabu vyake zimetafsiriwa kwa zaidi ya lugha Kumi.

Nukuu Sabini Zenye Msukumo Ma Motisha

Подняться наверх