Читать книгу Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio Na Maisha - Wael El-Manzalawy - Страница 3

Оглавление

Kuhusu Mwandishi


Wael El-Manzalawy ni mwandishi Mmisri. Alizaliwa mwaka wa 1973. Alihitimu shahada kutoka Idara ya Kingereza katika Kitivo cha Sanaa. Ako na Diploma kutoka kitivo cha Elimu. Alihitimu kutoka taasisi ambayo hutayarisha wasomi wa Ki-Islamu. Yeye huandika makala na hadithi fupi kwa Ki-Arabu na Ki-Ingereza. Makala yake na hadithi fupi zilichapishwa kwenye gazette nyingi, jarida na kwenye mtandao. Amezichapisha jumla ya vitabu 22 mtandaoni, kwa Ki-Ingereza. Vitabu vyake vimetafsiriwa kwa zaidi ya lugha 10. Wanaosoma vitabu vyake ni takriban 500,000.

Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio Na Maisha

Подняться наверх