Читать книгу Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio Na Maisha - Wael El-Manzalawy - Страница 4
ОглавлениеUtangulizi
"Tupa jiwe kwenye maji yaliyotulia. Unaweza ukabadilisha ulimwengu."-Wael El-Manzalawy Nukuu moja inaweza kujumlisha kimustasari wazo la sura nzima. Unaweza ukahifadhi miaka mingi maishani kwa kusoma nukuu moja. Kitabu hiki kina nukuu kadri ya 150 zilizoandikwa na wasomi wengi wa kimataifa. Natumai kwamba kitabu hiki kitakuwa cha msaada. Ninatazamia kuyaona maoni yako.